Fighter23 Member Joined Sep 22, 2019 Posts 41 Reaction score 131 Nov 23, 2020 #1 Anahitajika Food & Beverage Supervisor mwenye sifa zifuatazo: Awe Mtanzania mwenye miaka 25 na kuendelea Awe na uzoefu usiopungua miaka 2 kwa nafasi hii Awe na muonekano mzuri na nadhifu Awe amesomea mafunzo ya usimamizi wa Hotel katika chuo chochote kinachotambulika Mode of Application; - Alete CV mwenyewe mkononi na amkabidhi Meneja Mwajiri Deadline: - 30th December 2020 Anuani; - Tabata Bima Simu: - Mr. Edwin (Hospitality Consultant) Mob : +255 715 957 879
Anahitajika Food & Beverage Supervisor mwenye sifa zifuatazo: Awe Mtanzania mwenye miaka 25 na kuendelea Awe na uzoefu usiopungua miaka 2 kwa nafasi hii Awe na muonekano mzuri na nadhifu Awe amesomea mafunzo ya usimamizi wa Hotel katika chuo chochote kinachotambulika Mode of Application; - Alete CV mwenyewe mkononi na amkabidhi Meneja Mwajiri Deadline: - 30th December 2020 Anuani; - Tabata Bima Simu: - Mr. Edwin (Hospitality Consultant) Mob : +255 715 957 879