Vacancy UDSM

Asante mkuu, wenye meno waombe
 
Hivi ni lini waajiri wataacha tabia ya kusema a person with not less than 5 years of working experience, pumbavu sasa waliomaliza chuo hivi karibuni mnataka waende wapi, au wewe unayeajiri ulimaliza chuo ukiwa na experience pumbavu zenu!
 
mkuu, mbona una lugha kali sana?
 
Hapo tu "at least 10yrs of experience"! hapo tuuu jamani!
 
Experience ndio tatizo hapo..
Wadau kupata kazi idara ya uhamiaji inakuaje?
 
Hivi ni lini waajiri wataacha tabia ya kusema a person with not less than 5 years of working experience, pumbavu sasa waliomaliza chuo hivi karibuni mnataka waende wapi, au wewe unayeajiri ulimaliza chuo ukiwa na experience pumbavu zenu!

umenena kweli mkuu, utadhani nao walianza kazi wakiwa na hiyo experience
 
Huwa sifurahishwi na matangazo ambayo hayawekwi tarehe ya kutolewa halafu wanasema deadline ni "Two weeks from the first appearance of this Advertisement"
 
acha uvivu! umefungua link ya udsm ukaikosa? tatizo lako unataka upewe kila kitu. utakaa na degree yako mpaka uzeeke! changamsha akili yako aisee!

***Posted: 14th December 2010
 
The only organisation that nimeona wanaajiri direct from Chuo ni Access Bank, ingawa naona watu wanaiponda..... but imewasaidia wadogo zetu sana,,,,i think such waajiri wanasahau walipo toka... 🙁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…