hirorobert
Member
- Sep 9, 2011
- 58
- 30
hamna hivo vyeti tanzania hapa...hiyo mikaburu tuuu
kwani ACCA sio ya kimataifa?Herry,Mabagala na wenzio kama nlivyosema awali kama mko interested na mna vyeti husika ni PM nitawapa hiyo link otherwise kama ni kujaribu kama mtu unavyojaribu hapa na pale si rahisi, wenye CPA/ACCA na wengine bila kuwa na CISA au CFE/CFA hamtachukuliwa kwa vile taasisi ni ya kimataifa thats why nao wanaamriwa wachukue watu wenye hivyo vyeti
kama mjumbe naamini ku stick kwenye ujumbe very classified only " bearer of those certificates should mail us"
Herry,Mabagala na wenzio kama nlivyosema awali kama mko interested na mna vyeti husika ni PM nitawapa hiyo link otherwise kama ni kujaribu kama mtu unavyojaribu hapa na pale si rahisi, wenye CPA/ACCA na wengine bila kuwa na CISA au CFE/CFA hamtachukuliwa kwa vile taasisi ni ya kimataifa thats why nao wanaamriwa wachukue watu wenye hivyo vyeti
kama mjumbe naamini ku stick kwenye ujumbe very classified only " bearer of those certificates should mail us"