Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,515
- 28,506
TZ hutolipata, tafuta kwingineNatafuta maana halisi ya STAA.
Kwani hawa wasanii wana aibu? Wenyewe kuuza papuchi ndo sifa na utakuta mpaka nduguze na wazazi wanamsifu kwamba ana nyota ya bahatiInahitaji ujasiri sana kwa msanii kama huyu kujianika hadharani kwamba alikuwa anauza papuchi kwa mapedeshee.atakuwa hana wazazi wala ndugu wanaofatilia media ndo maana kajianika hadharani.
Dah! hili nalo darasa kubwa kwa wahongaji sasa hivi ana viziana na paka loh!Wakajiunge na shemeji yao Clement(CK) kuchoma mishikaki.
Alikuwa anawambia ma baa maid keep change ili asipoteze muda, leo anasimama kusubiri change kutoka baa alipwe ya mishikaki.Dah! hili nalo darasa kubwa kwa wahongaji sasa hivi ana viziana na paka loh!