Vaibu la mashabiki wa Simba Mwembeyanga, Ahmed Ally achizika wakimkanda Mwarabu

Vaibu la mashabiki wa Simba Mwembeyanga, Ahmed Ally achizika wakimkanda Mwarabu

Caf ule mgoli wa Kibu d wameweka na wimbo wa Acha tuenjoyy maisha mafupii
 
Duuuh ila Hili shuti la KIBU hata Marudio tu hulioni Vizuri lilivyosafiri.
...
🤣ATA ROBOT ISINGEDAKA
Hakuna mtu asiyetambua umuhimu wa Kibu D ndio maana jana kuna shabiki wa utopolo nilikua nimekaa nae karibu kamtukana kocha huku macho kayatoa, "Huyu kocha si amuingize Kibu Dennis ndio dakika zake, nikamjibu kwa upole Kibu Dennis haruhusiwi kucheza huku kwani yeye yuko Simba nikamuona kanyweea huku akivuta punzi ndefu🤣🤣🤣
 
Dah, Mie Mwenyewe hii kitu hapo Mwembe Yanga imenishangaza..!

Lazima kwanza Kupongeza Bwana Mo, Wachezaji , benchi la ufundi na Viongozi Wote kwa Jinsi Simba inavyoendelea kuandaliwa..!

Lakini Vibe La leo Mwembe Yanga kama hili, kwa kweli Hili ni Deni Kubwa Sana. Saaaaana...!

Safari ni bado, Kombe safari hii Lije tu.!

Ni nani alitoa wazo mashabiki wakusanyike pale! Huyo ni genius.
 
Back
Top Bottom