Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
CAF wakiliona hili vaibu watatupiga faini nyingine. Wataona tumewadharauWaambieni Caf hawajatukomoa
Wale walikuwa wanapigika goli hata 5, Ahoua magoli mawili,Ateba mawili na Mpanzu goli 1Caf ule mgoli wa Kibu d wameweka na wimbo wa Acha tuenjoyy maisha mafupii
Hakuna mtu asiyetambua umuhimu wa Kibu D ndio maana jana kuna shabiki wa utopolo nilikua nimekaa nae karibu kamtukana kocha huku macho kayatoa, "Huyu kocha si amuingize Kibu Dennis ndio dakika zake, nikamjibu kwa upole Kibu Dennis haruhusiwi kucheza huku kwani yeye yuko Simba nikamuona kanyweea huku akivuta punzi ndefu🤣🤣🤣Duuuh ila Hili shuti la KIBU hata Marudio tu hulioni Vizuri lilivyosafiri.
...
🤣ATA ROBOT ISINGEDAKA
Anachungulia thread huku akiwa na panadol hahangara23 unaumia ukiwa wapi?