JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Kiungo wa zamani wa AC Milan mwenye umri wa miaka 44 amekuwa hana timu tangu Mei 2021 alipoondoka Napoli baada ya kuiongoza kushinda taji la Coppa Italia
Mwaka jana alitajwa kupewa nafasi ya kuifundisha Fiorentina lakini mkataba ulivunja hata kabla ya kuanza kuinoa timu hiyo.
Source: BBC
===================
Valencia appoint Gennaro Gattuso as new manager on two-year deal
Gennaro Gattuso has been appointed Valencia manager on a two-year deal.
The 44-year-old has been without a club since May 2021 when he left Napoli, with whom he won the Coppa Italia the previous year.
Former Italy midfielder Gattuso had been named Fiorentina manager last summer but parted company with the club before his official start date.
Gattuso, who spent 13 years as a player at AC Milan, replaces Jose Bordalas, who was sacked on Friday.
Six-time Spanish champions Valencia finished ninth in La Liga in 2021-22.