Hongera sana! Sasa unanishari vipi? Maana wewe hueleweki mala unakuwa best mala unaniletea kamba nijinyonge.
Hehee tafuta wa kubaki nae njia kuu mchepuko haufai.....
Ooooh kesha Olewa....
...
'Valentina' nakusalimia..
Nimepata kicheko cha ndani baada ya kupata salam yako....umekua bidhaa adimu sikuhizi weye
Nimepata kicheko cha ndani baada ya kupata salam yako....umekua bidhaa adimu sikuhizi weye
aiseee umensusa wewe
babe wetu ndio kwanza ana
mwezi,nakua mama wa nyumbani kwa muda haaa
Duh kumbe inawezekana peke yangu ndo nikawa single humu ndani eehh.
usicheke sana.
mambo ni poa kwa upande wangu.
hongera kwa kuolewa. na uran
na kweli ngioja nianze jithada za makusudi.Utajibeba anza kutafuta
Ooooh kesha Olewa....
...
....Na mume wake ni nani?
Anaitwa nani vileee hebu Valentina nikumbushe
yes darling.!!