Down To Earth
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 21,940
- 16,643
nimemwona mkuu with love kanipokea
Ina maana mm cna hata wa kum mis huku!!dah!watu wanamisiana tu!loya cjui yupo kona gani!
nimeyapokea kwa mikono miwili mpenzi wangu..
Mmmh ebu acha hizo basi!!
hahahahahaha badilisha usemi wako utampendaje kama swts potato
zisipolimwa je
Hahahaaaaaa mke mwenza unajua nilivokumis....
Nshaacha hayo makitu mke mwenza,looohh!!
mzuri aisee,naomba uniajiri kazi za u-houseboy
hivi unaikumbuka ile video ya papa u say where bozoo is come from?
............whether ur a lier or u dont know
Hi baby! Am NOT! Come this side tuongee vizuri sasa.
Sasa wewe hata sikuelewi ndomaana nimejitoa uasistant kumbe tayari una babe
hahahahahaha tatizo lako mamiii everytime uko bwiiiii
unasahau mpaka majukumu yako
haki ya yesu umenitusi we mwana!!
mi silewagi nachangamka tu!!
naokoka kabisa usijali! hahaaaaaa!!hahahahahahaha basi upunguze kula mapilipili maana huchelewagi kuharibu weye
naokoka kabisa usijali! hahaaaaaa!!
Lazima zilimwe bana we niaje lkn?
nimekumiss pia mke mwenza weekend hii naomba unitafute tukale bata somewhere