Passion Lady
aiseee umensusa wewe
babe wetu ndio kwanza ana
mwezi,nakua mama wa nyumbani kwa muda haaa
​beibe umeniita???
​beibe umeniita???
Week end vipi. Mbona unanifanyia hivyo mwenzio?
wk end pouwa kabisa
nimekufanyaje tena??!!
Umenitenga sana! Njoo basi uifanye week end yangu itimie maana haikamiliki bila wewe.
Ushapata mchuchu??
Sina bhana nipo nipo tu naendelea kula chips mitaani! Wewe vipi ndoa imeshajibu?!.
Kwangu nashkur imejibu aisee
nipo getini,njoo nifungulie!!Umenitenga sana! Njoo basi uifanye week end yangu itimie maana haikamiliki bila wewe.
nipo getini,njoo nifungulie!!
Rich Pol,,Nitakuwa sikutetei unajuaDa bahati gani niliyonayo Mtoto umejitoa kafala na mvua hii, nikushukuru vipi! Nakuahidi kesho nakupeleka show room.
Rich Pol,,Nitakuwa sikutetei unajua
Umemuona best yako eeeh!hapa lazima mtu ufe na presha kwa mtindo huo kha???
Werrra werrrra weekend!!
Ooooh kesha Olewa....
...