Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
Wauza maua wa NAMANGA-KINONDONI wananunua maua meupe -reject na yaliyobaki kwenye maharusi , wanapulizia rangi nyeupe na kuyauza kwa wanunuzi , Tshs 30,000 kwa bando moja ambapo maua original wanauziwa wazungu na wenye fedha.
Mjini njoo na akili yako, mtaji ni wajinga utaowakuta!
Siku ya leo , ijumaa ya Valentine, huku wenye wapenzi wakiboresha mapenzi, wasio na wapenzi wakitafuta wa kutoka nao.
Leo ni siku ambayo wasichana wengi, hasa wanafunzi watafanya mapenzi kwa mara ya kwanza, ni siku ambayo P-2 zitauzwa sana, ni siku ambayo "kwa msaada wa watu wa Marekani zitauzwa sana".
Leo ni siku waliotunza bikra mpaka miaka 24 wakaingia nazo chuo zinakwenda kuvunjwa kwa maua yanayonyauka na heineken za bucket.
Leo watoto wa form four wanaosubiri kwenda Form 5 , wanapata wapenzi , wanaingia kwenye ngono zembe, wengine watabeba mimba na kuzaa, wengine watabeba mimba na kuzitoa na kupelekea kifo na wengine watakuwa hoi kwa kuambukizwa UTI Sugu na HIV.
Leo ni siku ambayo Waume wengi wata saliti ndoa zao kwa kutembea na wafanyakazi wenzao, leo mke atamsaliti mume kwakuwa yupo kikazi Dodoma na Mume yupo Dar es salaam.
Leo Maeneo ya Coco Beach ngono, si tu itafanyika kwenye parking , bali hata kwenye mabanda, chini ya miti na kila koda na ndani ya bajaji.