Valentine Day na Nguo Zake Nyekundu vs Yanga FC Uwanja wa Taifa

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Kesho Wasiojua kucheza Mpira Dunia Nzima Timu Ya Yanga Inacheza Na Wanaojua BDF Ya Botswana Uwanja Wa Taifa Jijini Dar es Salaam Wakati Kesho Hiyo Hiyo Ni Siku Ya Wapendanao Hivyo Sipati Picha Dilemma Ambayo Wanayanga Watakuwa Nayo. Naomba Kuuliza Wanayanga Je Kesho Mtavalia Nguo Zipi? Hizo Za Majini Na Mashetani Kijani Na Njano au Mtatupia Kitu Cha Damu Ya Yesu Na Ukombozi Wake Na Kusheherekea Pia Siku Ya Wapendanao? Naisubiri Kwa Hamu Sana Kesho Nione Taifa Patakuwaje! Happy Valentine BDF.

NB: Wana Yanga Wote Tafadhalini Ili Kupendezesha Siku Maalum Ya Kesho Na Kumuenzi Muasisi Wa Siku Hiyo MTATAKIWA KUVALIA NGUO NYEKUNDU Tu NA OLE WAKE MKAIDI MAAGIZO HAYA Kwani HAMTAINGIA Uwanjani Na Ukizingatia Zamu Ya Kusimamia Uwanja Mzima Kesho Kakabidhiwa GENTAMYCINE. Na Mkifanya Mzaha Mechi Mtaisikilizia ktk Redio Mbao Zenu Na Wana Simba Wenzangu Tu Ndiyo Watakaoingia Taifa! Fisi Kapewa Fungua Za Bucha.
 
mbona unamawazo ya kibwege hivyo? ...we ndio mbumbumbu namba moja katika mambumbumbu wote wa pale mikia fc(msimbaz)...kwa taarifa yako mashindano ya caf mtaendelea kuyasikilizia kwenye redio tu. oneni basi aibu misimu mingapi hamshiliki badala yake mnaishia kwenye makombe ya mbuzi...anyway binafsi nakukaribisha siku hiyo uje taifa ushuhudie mpira wa kimataifa kutoka kwa timu pendwa ya wanachi wa tanzania..YANGA nikama maji usipoyaoga basi utayanywa, huwa hamjisikii vizuri siku ipite pasipo kuitaja timu ya wananchi yanga hata kama siku hiyo haipo uwanjan, sijui mikia huwa mnawashwa nini mbona mnamambo mengi yakuzungumzia yanayoihusu mikia???
 
Kwani ukivaa njano na kijani hauruhusiwi kushrekea au
kuingia gesti na mpenzi wako?
 
Ukiona heading kama ina matege hivi,kabla hujaifungua,tabiri kuwa imeanzishwa na mbumbumbu fc na utakuwa umepAtia
 
Kesho Wasiojua kucheza Mpira Dunia Nzima Timu Ya Yanga Inacheza Na Wanaojua BDF Ya Botswana Uwanja Wa Taifa Jijini Dar es Salaam Wakati Kesho Hiyo Hiyo Ni Siku Ya Wapendanao Hivyo Sipati Picha Dilemma Ambayo Wanayanga Watakuwa Nayo. Naomba Kuuliza Wanayanga Je Kesho Mtavalia Nguo Zipi? Hizo Za Majini Na Mashetani Kijani Na Njano au Mtatupia Kitu Cha Damu Ya Yesu Na Ukombozi Wake Na Kusheherekea Pia Siku Ya Wapendanao? Naisubiri Kwa Hamu Sana Kesho Nione Taifa Patakuwaje! Happy Valentine BDF.

NB: Wana Yanga Wote Tafadhalini Ili Kupendezesha Siku Maalum Ya Kesho Na Kumuenzi Muasisi Wa Siku Hiyo MTATAKIWA KUVALIA NGUO NYEKUNDU Tu NA OLE WAKE MKAIDI MAAGIZO HAYA Kwani HAMTAINGIA Uwanjani Na Ukizingatia Zamu Ya Kusimamia Uwanja Mzima Kesho Kakabidhiwa GENTAMYCINE. Na Mkifanya Mzaha Mechi Mtaisikilizia ktk Redio Mbao Zenu Na Wana Simba Wenzangu Tu Ndiyo Watakaoingia Taifa! Fisi Kapewa Fungua Za Bucha.

Mada yako nzuri kama usingeingiza mambo ya dini.
 
Back
Top Bottom