GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kesho Wasiojua kucheza Mpira Dunia Nzima Timu Ya Yanga Inacheza Na Wanaojua BDF Ya Botswana Uwanja Wa Taifa Jijini Dar es Salaam Wakati Kesho Hiyo Hiyo Ni Siku Ya Wapendanao Hivyo Sipati Picha Dilemma Ambayo Wanayanga Watakuwa Nayo. Naomba Kuuliza Wanayanga Je Kesho Mtavalia Nguo Zipi? Hizo Za Majini Na Mashetani Kijani Na Njano au Mtatupia Kitu Cha Damu Ya Yesu Na Ukombozi Wake Na Kusheherekea Pia Siku Ya Wapendanao? Naisubiri Kwa Hamu Sana Kesho Nione Taifa Patakuwaje! Happy Valentine BDF.
NB: Wana Yanga Wote Tafadhalini Ili Kupendezesha Siku Maalum Ya Kesho Na Kumuenzi Muasisi Wa Siku Hiyo MTATAKIWA KUVALIA NGUO NYEKUNDU Tu NA OLE WAKE MKAIDI MAAGIZO HAYA Kwani HAMTAINGIA Uwanjani Na Ukizingatia Zamu Ya Kusimamia Uwanja Mzima Kesho Kakabidhiwa GENTAMYCINE. Na Mkifanya Mzaha Mechi Mtaisikilizia ktk Redio Mbao Zenu Na Wana Simba Wenzangu Tu Ndiyo Watakaoingia Taifa! Fisi Kapewa Fungua Za Bucha.