PMNBuko
JF-Expert Member
- Dec 27, 2010
- 967
- 154
Leo ni siku inayoitwa Valentine Day. Wengi wetu tunafahamu historia ya kidini ya siku hii. Sitaki nizungumzie hilo. Maoni yangu ni namna siku za hivi karibuni siku inavyopotoshwa kabisa. Leo ukienda sehemu mbalimbali, utakuta watu ni wawili wawili. Mazungumzo yao yote, vyovyote yatakavyokuwa na kwa muda gani, malengo na hatma yake yake ni kufanya ngono, yaani kupandana.
Je, hii ni sahihi? Tufanyeje mimi na wewe, maana ukweli ndio huo, hata ukikataa, naelewa nafsini mwako utakubali tu kuwa Valentine Day ni siku ya WAPANDANAO siyo WAPENDANAO. Nawasilisha.
Je, hii ni sahihi? Tufanyeje mimi na wewe, maana ukweli ndio huo, hata ukikataa, naelewa nafsini mwako utakubali tu kuwa Valentine Day ni siku ya WAPANDANAO siyo WAPENDANAO. Nawasilisha.