Valentine Day: Ni Siku ya Wapendanao au Wapandanao???

PMNBuko

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2010
Posts
967
Reaction score
154
Leo ni siku inayoitwa Valentine Day. Wengi wetu tunafahamu historia ya kidini ya siku hii. Sitaki nizungumzie hilo. Maoni yangu ni namna siku za hivi karibuni siku inavyopotoshwa kabisa. Leo ukienda sehemu mbalimbali, utakuta watu ni wawili wawili. Mazungumzo yao yote, vyovyote yatakavyokuwa na kwa muda gani, malengo na hatma yake yake ni kufanya ngono, yaani kupandana.

Je, hii ni sahihi? Tufanyeje mimi na wewe, maana ukweli ndio huo, hata ukikataa, naelewa nafsini mwako utakubali tu kuwa Valentine Day ni siku ya WAPANDANAO siyo WAPENDANAO. Nawasilisha.
 
Valentine Day ni siku hatari sana. Siyo tamu kama moja ya uzi zilizoanzishwa humu. Ni hatari kwa afya wale wapandanao badala ya kupendana. UKIMWI kwa leo utasambazwa kwa kasi ya 100%. Tujihadhari sana hasa vijana.
 
Kwa wanaume/wanawake walio kwenye ndoa. Leo siku iko hivi. Mume harudi nyumbani mapema, anakwenda kwa nyumba ndogo. Na mwanamke anaaga mumewe kuwa leo naenda kwa shangaazi, kumbe kaenda kwa "buzi".
 
Leo ni siku inayoitwa Valentine Day. malengo na hatma yake yake ni kufanya ngono, yaani kupandana.

Je, hii ni sahihi? kuwa Valentine Day ni siku ya WAPANDANAO siyo WAPENDANAO. Nawasilisha.
maneno ya wanyama wanyama hivi............wewe huwa unampanda mkeo?
kwanza unaoneka huna mke wala g-friend wewe!!!
Inaonekana huwa Unajipanda mwenyewe!!!
 
Sioni tofauti ya siku ya leo na kila siku sababu siku zote nampenda .....
 
maneno ya wanyama wanyama hivi............wewe huwa unampanda mkeo?
kwanza unaoneka huna mke wala g-friend wewe!!!
Inaonekana huwa Unajipanda mwenyewe!!!

U have made my day mkuu!! :lol::lol::lol::lol:
 
Duh!!! SIKU YA WAPANDANAO. Kupandiana.
 
maneno ya wanyama wanyama hivi............wewe huwa unampanda mkeo?
kwanza unaoneka huna mke wala g-friend wewe!!!
Inaonekana huwa Unajipanda mwenyewe!!!

Ukubali, ukatae yote ni sawa. Unafiki kwangu mwiko...kama kupandana siyo msamiati sahihi weka wa kwako ilimradi maana ni ile ile ndugu yangu...
 
Ooooh yes. Nimekumbuka. Leo hakuna Valentine maana hesabu yake ni zero. Check hesabu ya tarehe ya leo.
14-2-12=0 Hivyo leo hakuna valentine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…