Natoa wapi si nawapa idea wale watoajiπ€£π€£π€£π€£ Kumbe shoga una hela!! Makorokoro yote hayo
Nilitaka kikao kijacho tukufute uwanachama ππππNatoa wapi si nawapa idea wale watoaji
Anhha weee mimi hela natoa wapiNilitaka kikao kijacho tukufute uwanachama ππππ
Ole wako ujaribu kununua hata leso..!!Anhha weee mimi hela natoa wapi
Acha watu wapalilie penze lo. Mapenzi matamuπβ₯οΈ
ππOle wako ujaribu kununua hata leso..!!
Tumekubaliana zawadi ni kuwapost WhatsApp na ikiwa kakuekea bundle π
Aliliiii aih aih twambie tarehe ya babyshower tuje na wipesSubiri mtoto atakapokusalimia "Hello Auntie "G"
Naanzaje kumpost labda awe kafa π€£π€£π€£Ole wako ujaribu kununua hata leso..!!
Tumekubaliana zawadi ni kuwapost WhatsApp na ikiwa kakuekea bundle π
ππPenzi tamu linaloridhisha na zawadi ya kuvalika....gauni au kiatu au saa kama uwezo wako mzuri Gari(akikuacha Gari arudishe)....maana mapenz nayo yana expire date
Anakuwekea bundle πAsiponunua zawadi napata wapi bundle la kumpost
Bado hajanishawishi...kauli mbiu ni Ile ile tulia utunzwe π€«Anakuwekea bundle π