Happy Valentine.. Tufarijiaje wazee..
Naona kimya. Sioni mashamsham
Kunani huko uliko...
Vifo, ngumi, vilio, ?
Happy Valetines Day..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kesho Kama siku nyingine tu mpendwaTusio na wapendanao kesho ni ijumaa tuu[emoji44]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kesho Kama siku nyingine tu mpendwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Tutapata kwa wapendwa wetu wenye upendo wa agape..ila kutoka kwa ma babybaba..tuule wachuya.yaani....hatutarajii maua wala zawadi zozote
Tutapata kwa wapendwa wetu wenye upendo wa agape..ila kutoka kwa ma babybaba..tuule wachuya.
Sent using Jamii Forums mobile app