Michael Scofield
JF-Expert Member
- Jul 30, 2011
- 1,225
- 473
Ni mtu niliemtegemea sana!ni nani yako hadi unakosa usingizi?
I mean una urafiki nae au ni nani? maana hkujali leo hii
Hata ukinipa pole na maneno yako ya hekima na busara naweza poza maumivu.Sasa usaidiweje hapo?
Mkuu siku zote zina upendo, lakini siku kama hii inatakiwa muwe karibu sana na muonyeshe ni jinsi gani mnajaliana!Kwa nini umetegemee trh 14.2.tu,what about other days?
Mkuu siku zote zina upendo, lakini siku kama hii inata
kiwa muwe karibu sana na muonyeshe ni jinsi gani mnajaliana!
Kwani wewe siku ya sikukuu, familia yako uwa inapika vitu vizuri, kwani ndio kuonyesha siku zingine hamli vizuri au ni furaha kwa special day?
For me and my Gf,kila siku ni valentine,off course ndo cku ya wapendanao,usiwe confused kiivyo,amewasha,umepiga amekata,kesho haipo?utajua ni nini kinaendelea.
Tatizo umeweka akilin siku ya valentine,ni cku ya kuwa close cnaaa na ur Gf,siyo mbayaa,its true,but siku zilizopita hajawah zima simu???,hujawah send text ikawa not delivered???,hujawah kumpigia akakata????.That uliemtegemea hiyo cku,ana vijitabia gani??.nzuri,mbaya??!nataka nikuambie kitu hapo.
USIIKUZE CNAAA HII SIKU,NA UKAJUA IT'S A WORSE DAY.IT'S A NORMAL DAY,LOVABLE.
Mtafute leta ujue,why she did that.
Lakini we bado una nafasi, Husn si alisema wa JF?Bora kule kwa Husn ungenichagua mie, unaona sasa? Na mie kufanywa plan B staki. Imekula kwako, pole weeh!
Mkuu chriss we acha tu! mpaka naleta jamvini! kuna sms ya utata aliyonitumia ndio inanichanganya akili.
Ndio hivyo mkuu! but inauma kweli.Kama kashasend na sms ya utata,hapo mmmmh...have courage,and love ur family and fnds..
Lakini we bado una nafasi, Husn si alisema wa JF?
Jamani King'asti! hata wewe haunionei huruma mtoto wa mwanamke mwenzio? kwahiyo siku ya leo sina wa kunifuta machozi?Too late papaa! Sikubali kuwa emergency number kama wewe ulivyowekwa na huyo bibie. Vuta subira, akitoswa huko aliko huenda akakusaka baadae. All the best.
Mpaka nipate jibu kutoka kwa King'asti.Come to me baby!
Hata ukinipa pole na maneno yako ya hekima na busara naweza poza maumivu.
Hata ukinipa pole na maneno yako ya hekima na busara naweza poza maumivu.