Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 4,460
- 13,715
Siku ya wapendanao sio siku ya impress demu wako. Kupenda ni KUTOA upendo na KUPOKEA upendo. Don't make execuse kwa mwanamke ambaye anataka kupokea tu. Mtupilie mbali.
Yani kuna mtu leo anajiandaa atumiwe meseji asubuhi hii alafu jioni aletewe ka-gift fulani, bwana ake akisahau hivi vyote ananuniwa wiki nzima.
Yaani nyie ni kupokea kupokea kupokea tu siku 364.
When will you be responsible katika mapenzi? Mwanamke huwa anaweka hisia zake kuwa very special katika dunia ya fikra zake huku mwanaume akimueka pembeni.
Aya leteni matusi ya "TAFUTA HELA WEWE"!