Kimemeta
Senior Member
- Dec 27, 2017
- 181
- 234
Ni jioni tulivu kuelekea kesho siku ambayo wanadamu tumeamua kuopotosha kabisa maana yake halisi na kujiwekea maana ambayo inatufurahisha sisi kizazi cha uovu. Haya hili tumekubali sasa kuna jingine kama heading inavyosomeka.
Yani akina dada wanajiona wao ndo wanaostahili kupewa zawadi toka kwa wapenzi wao wa kiume na sio wao kuwapa wapenzi wao zawadi.
Sasa mimi nasema hivi, hapewi mtu zawadi hapa, ninao kama watatu hivi atakaye nipa zawadi ndo na mimi nampa.