..inaoneka huna demu au demu wako ha-mind-shi mambo ya kutoka out na especially siku hiyo. angalia bwana,unaweza kuwa unashika palipokwishashikwa sasa mwenzio ameshika vizuri zaidi!
..otherwise,ni mazungumzo tu.....hata mimi siizimikii kwa sana!
Thanks jn!i think valentine is a good day to remind friends, lovers, husbands/wives to cherish and celebrate their love. i think once you are in a relationship for a long time its easy to take each other for granted and not allocate special time to romance each other. and so this is why (in my opinion) valentine day is for. to be honest some men only buy flowers/presents for their wives on valentine... sasa just imagine kama there was no valentine day; si wasingenunua kabisa!!
just go with the flow.. dont think about what you want(or not want in this case), but think about how your loved one and how she may want to be spoilt and romanced on v. day.
Mtu wa Pwani,Huu Ni Upuuzi Mtupu Haina Faida Yyte Mkuu Siku Yyte Ile Ni Bomba Na Mie Nnaona Kama Mnaikumbuka Siku Mlioasisi Relation Yenu Au Kuoana Hiyo Ndio Bomba Kwenu, Kutoka Out Na Kufanyiana Mengi Zaidi Na Kutathmini Hatua Mlizopiga Na Kurekebisha Mlipokosea Na Kupanga Mikakati Ya Kufika Mbali Zaidi
February 14th. I think the day is a reminder of love that two people share. Just like we celebrate Christmas every once in a year....
Hatimaye nimekuwa 'convert' wa siku. Nashukuru sana kwa maoni yenu. Siku imesha katika hapa bongo lakini ndiyo inaishia hivyoo kwa wale wa ng'ambo... subiri nitume kikadi angalau kimoja basi online!! LOL.
Happy Valentine's Day!!
-----------------------
π π π bora umeipata card!! lol
Nani huyo, π Care to share??? Sneakyyyyy.......
Wee nawe, picha yako mwaka umepita wala hunipatii...nimecheck kila attachment kwenye mail ninazopata nikitegemea nitapata picha ya kisura niliyo omba miaka nenda rudi wala sioni.. naishia kupata spammers tu... Anyway, Vipi umepokea nini leo hii (huku kwetu ni jana tayari) Mama Afrika?! unaweza uka share nasi? π
Halafu huu utamaduni wa maua ktk mapenzi not African- naona kama tunaiga tu!
LOL!!! Hehehehe! Well, I dont know, siku tegemea kitu leo, maana mpenzi wangu amenitosa leo officially! Wakati bado natafakari yaliyonikuta; mchana huu nimekuta meseji kuwa nina delivery huko, na nikaenda nikakuta basket of flowers! Beautiful I may add...Ila, sender, hajaandika jina, najaribu kutafakari nani huyu sasa, Lakini naogopa kuuliza. Ninayemfikiria, labda sie aliyeleta; nisiposema asante, aliyeleta hawezi kuelewa, atajua labda nina mwingine? I'm treading on an edge... Sasa sijui nifanyaje? Ideas???...LOL!