Lord Delamere in Kenya JF-Expert Member Joined Nov 26, 2018 Posts 3,988 Reaction score 8,021 Nov 8, 2023 #41 Hivi Simba na hii mikocha mizungu kuna nini? mbona wapo makocha wakali tu wa Kiafrika wanaolijua soka la Afrika ambao wanapaswa wapewe kandarasi hiyo? Hii MIKOCHA MIZUNGU MIZUNGU HATUITAKI.
Hivi Simba na hii mikocha mizungu kuna nini? mbona wapo makocha wakali tu wa Kiafrika wanaolijua soka la Afrika ambao wanapaswa wapewe kandarasi hiyo? Hii MIKOCHA MIZUNGU MIZUNGU HATUITAKI.
Lord Delamere in Kenya JF-Expert Member Joined Nov 26, 2018 Posts 3,988 Reaction score 8,021 Nov 8, 2023 #42 Emmahu said: Wanaenda kufeli tena Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app Click to expand... Uko sahihi Mkuu.
Emmahu said: Wanaenda kufeli tena Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app Click to expand... Uko sahihi Mkuu.
A Aleyn JF-Expert Member Joined Nov 12, 2011 Posts 21,058 Reaction score 36,272 Nov 8, 2023 #43 Bagabeach said: SIMBA sasa ttafute makocha 30. Yaani hawa wanakuwa kama day worker. Watakuwa wanafundisha match moja moja. Click to expand... Mbumbumbu FC chukueni wazo hili maana akili zenu zinaweza kuwaza hivi.
Bagabeach said: SIMBA sasa ttafute makocha 30. Yaani hawa wanakuwa kama day worker. Watakuwa wanafundisha match moja moja. Click to expand... Mbumbumbu FC chukueni wazo hili maana akili zenu zinaweza kuwaza hivi.
James Hadley Chase JF-Expert Member Joined Mar 25, 2020 Posts 1,984 Reaction score 3,695 Nov 8, 2023 Thread starter #44 Ngalikihinja said: Imesemwa kuwa aliwahi kufundisha timu ya Simba, je.! wakati huo aliondokaje?Au naye alifurushwa? Click to expand... Boss wa @TTCL_Corporation naona upo kila idara, kwenye siasa upo, michezo upo, udaku upo, teknolojia upo😅
Ngalikihinja said: Imesemwa kuwa aliwahi kufundisha timu ya Simba, je.! wakati huo aliondokaje?Au naye alifurushwa? Click to expand... Boss wa @TTCL_Corporation naona upo kila idara, kwenye siasa upo, michezo upo, udaku upo, teknolojia upo😅
Ngalikihinja JF-Expert Member Joined Sep 1, 2009 Posts 33,643 Reaction score 36,090 Nov 8, 2023 #45 James Hadley Chase said: Boss wa @TTCL_Corporation naona upo kila idara, kwenye siasa upo, michezo upo, udaku upo, teknolojia upo😅 Click to expand... Mengine yote ni kweli, kasoro hilo la ubosi wa TTCL. Huko umeingizwa chaka
James Hadley Chase said: Boss wa @TTCL_Corporation naona upo kila idara, kwenye siasa upo, michezo upo, udaku upo, teknolojia upo😅 Click to expand... Mengine yote ni kweli, kasoro hilo la ubosi wa TTCL. Huko umeingizwa chaka