Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
😁😁😁😁😁Wanawake wazee, mgalala, mpepe hakuna mtu atatoboa hapo
Hii ni picha ya Jean Claude Van Damme akiwa na Bolo Yeung.
Hapo wakiwa katika movie ya bloodsport ya mwaka 1988 na picha ya nyingine walipokutana mwaka huu 2025 takribani miaka 37 baadae.
Ama kweli nguvu ni kitu cha kuisha.View attachment 3257330
Nimecheka ahahaha kwa wale wasiolewa lugha ya hapo, Mgalala=punyeto=kujichukulia sheria mkononi, mpepe=shada=bange=msuba=mneli=ganja aloooh wanawake wazee si mnawajua dogo una 20 unataka uruke na mamako mdogo wa miaka 37 na sisi kaka zenu tumewaachia si hamtaki cha 2000 vyenzenu, sawa sawaWanawake wazee, mgalala, mpepe hakuna mtu atatoboa hapo
"YOU ARE NEXT "Hii ni picha ya Jean Claude Van Damme akiwa na Bolo Yeung.
Hapo wakiwa katika movie ya bloodsport ya mwaka 1988 na picha ya nyingine walipokutana mwaka huu 2025 takribani miaka 37 baadae.
Ama kweli nguvu ni kitu cha kuisha.View attachment 3257330
Double Imapact!Hii ni picha ya Jean Claude Van Damme akiwa na Bolo Yeung.
Hapo wakiwa katika movie ya bloodsport ya mwaka 1988 na picha ya nyingine walipokutana mwaka huu 2025 takribani miaka 37 baadae.
Ama kweli nguvu ni kitu cha kuisha.View attachment 3257330
Hakika sana...Nguvu ni kitu cha kuisha ila hakikisha zinapokuisha basi uwe umekusanya mali za kutosha ili uzeeni usitaabike wala kufedheheka kwa shida ndogo ndogo
Sahihi kbsa mkuuMuda ni adui mkubwa wa Binadamu.
Time is a true Enemy Of man.
Your Next
(BLOOD SPORT).