Uyo ni sawa na Fred + mctominayHaya wale wachambuzi wetu, wataalam wa soka la Ulaya, tuambiane nafasi ambayo Kiungo mpya wa Man Utd kutoka Ajax ataaenda kucheza? Je, atachukua nafasi ya nani? Je, anaweza akaleta balance kwenye timu?
Karibuni
Wewe jau sana Don kacheza game za UEFA mwaka jana kaitoa Madrid angalia viungo wake juventus n.k alafu unalinganisha na takatakaKwahiyo unaangali statistics za ligi ya uholanzi unalinganisha na Epl?
Epl Mc tominay anakutana na mafundi watupu katikati kwenye kiungo pale uje ulinganishe na uholanzi?
Fikiria mctominay katikati ya uwanja anakutanaga na watu kama
1.Jorginho 2. Kante 3. Xhaka 4. Fabinho 5.Rodrigo
Huyo VDB wachezaji anaokutana nao ni wa kawaida kabisa.
wewe jamaa Ton kroos wa kawaida? sio unaikumbuka Ajax iliyotoa vigogo UEFA? alicheza mechi zoteKwahiyo unaangali statistics za ligi ya uholanzi unalinganisha na Epl?
Epl Mc tominay anakutana na mafundi watupu katikati kwenye kiungo pale uje ulinganishe na uholanzi?
Fikiria mctominay katikati ya uwanja anakutanaga na watu kama
1.Jorginho 2. Kante 3. Xhaka 4. Fabinho 5.Rodrigo
Huyo VDB wachezaji anaokutana nao ni wa kawaida kabisa.
Sometimes mtu kama Pogba unabaki naye kwa sababu za kiuchumi pia. Halafu nimemuona akicheza na Fernandes timu ya Man U inabalansi fulani hivi katikati. Scott ni mScotland so ni fair kusema atabebwa na utaifa wake kuliko Fred.Man u kama wapo serious wamuuze pogba majipu Real Madrid akapotezwe na viungo wa betis, eibar, sevilla, celtavigo. Huyu jamaa namuonaga mzigo kweli, akipoteza mpira akabi. Ila yule dogo fred abaki anapambana sana.
Jamaa yupo serious anakazana kugomea takwimu.Shida ya mashabiki maandazi wao wanajuaga ulaya ligi ni EPL tu zingine hazina hadhi. Jibu ni hiviiii, ligi bora na dream league ni NBA tu. Mpira wa miguu ulaya ligi zote ngumu.
Kwahiyo na msimu huu walivoishia makundi je unasemaje?Wewe jau sana Don kacheza game za UEFA mwaka jana kaitoa Madrid angalia viungo wake juventus n.k alafu unalinganisha na takataka
Alafu man u imefanya vizuri sio?Kwahiyo na msimu huu walivoishia makundi je unasemaje?
Walivochemka europa nako?
[emoji23][emoji23][emoji23]Timu inachezesha viungo wote 3 kwa pamoja,,van de beek akitokea kulia ,,chini ya Sancho,,au greenwood,,Fernandez anatokea kushoto chini ya martial, pogba anakuwa nyuma yao,,
Ila wanacheza wote watatu kwa pamoja,,kupata magoli zaidi
Position tofautiMkuu Mctominay ni mzuri kuliko huyo vdb
Sancho ndy,,kwn hujuwi kama man u wanasubiriwa kumalizana na Dortmund ?deal la Sancho not over yet mkuu..[emoji23][emoji23][emoji23]
Chini Ya Snacho Eti
hao mafundi watupu wakikutana na sevilla au bilbao mbona wanachezeaga nje ndaniKwahiyo unaangali statistics za ligi ya uholanzi unalinganisha na Epl?
Epl Mc tominay anakutana na mafundi watupu katikati kwenye kiungo pale uje ulinganishe na uholanzi?
Fikiria mctominay katikati ya uwanja anakutanaga na watu kama
1.Jorginho 2. Kante 3. Xhaka 4. Fabinho 5.Rodrigo
Huyo VDB wachezaji anaokutana nao ni wa kawaida kabisa.
Hii timu hii bwana, vituko sana. Magoli mengi huyapati kwa kuchezesha "washambuliaji" wengi. Kumbe ndiyo sababu hata kocha akiwa goli 2 nyuma, mchezaji mmoja pungufu, na anacheza na Mourinho aliendelea kuwa attack minded! Mourinho aliwashindia mechi nyingi akiwa na viungo wawili tu Matic na Pogba sasa hivi timu inataka kucheza na viungo wote uwanjani. Mwaka huu hii timu inaweza kabisa kushuka daraja.Timu inachezesha viungo wote 3 kwa pamoja,,van de beek akitokea kulia ,,chini ya Sancho,,au greenwood,,Fernandez anatokea kushoto chini ya martial, pogba anakuwa nyuma yao,,
Ila wanacheza wote watatu kwa pamoja,,kupata magoli zaidi
Fred na McTominay watafute pa kwenda. Fred tayari anatakiwa na timu mbili za Italia. Nahisi Man U watamtoa Fred ili kumpa nafasi De Beek.
Pogba sidhani kama atafunguliwa mlango.
Mimi kama shabiki wa Arsenal nasubiri komedi za uwanjani tu nije kucheka humu.
Dogo ni no 10 natural. Man u haina no 10 wa maana(maata ni uchafu tuu) bruno atashuka chini dogo atacheza nyuma ya martial.
Kuna swali lingine?
Timu inachezesha viungo wote 3 kwa pamoja,,van de beek akitokea kulia ,,chini ya Sancho,,au greenwood,,Fernandez anatokea kushoto chini ya martial, pogba anakuwa nyuma yao,,
Ila wanacheza wote watatu kwa pamoja,,kupata magoli zaidi