Van der Sar avuja damu kwenye ubongo, alazwa ICU. Inaelezwa anaendelea vizuri

Van der Sar avuja damu kwenye ubongo, alazwa ICU. Inaelezwa anaendelea vizuri

Influenza

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2018
Posts
1,509
Reaction score
3,756
Golikipa wa zamani wa Manchester United, Edwin van der Sar amepata tatizo la kuvuja damu kwenye ubongo na yuko katika chumba cha Wagonjwa Mahututi nchini Croatia

IMG_6773.jpeg


Taarifa iliyotolewa na Klabu ya Ajax ambapo Van der Sar alikuwa anahudumu kama Mtendaji Mkuu baada ya kustaafu soka, imesema nguli huyo wa soka anaendelea vizuri

Van der Sar aliyewahi pia kuichezea Ajax ya Uholanzi, alishinda Ligi ya England mara 4 katika kipindi cha miaka 6 akiwa Man. United, pamoja na Ligi ya Klabu Bingwa mnamo 2008.

Baada ya kustaafu, alirejea Ajax ambako alichukua nafasi ya Mtendaji Mkuu mwaka wa 2016 lakini aliacha Wadhifa huo mwishoni mwa msimu uliopita.
==

Former Manchester United goalkeeper Edwin van der Sar is in intensive care after suffering bleeding around his brain.

The 52-year-old is in a stable condition in hospital, his former club Ajax have announced.

An Ajax statement on Twitter said: "On Friday, Edwin van der Sar has had a bleeding around his brain. He's currently in hospital in the intensive care unit and is in a stable condition.

"Once there is more concrete information, an update will follow. Everyone at Ajax wishes Edwin a speedy recovery. We're thinking of you."

Although no further details were given by Ajax, it has been reported Van der Sar was admitted to hospital while away in Croatia after suffering a cerebral haemorrhage.

Manchester United sent a message of support for their former goalkeeper, tweeting: "Sending all our love and strength to you, Edwin."

Fulham, with whom Van der Sar spent four years before joining United, tweeted: "Everyone at Fulham Football Club wishes Edwin a speedy recovery. We're thinking of you."

Van der Sar won the Premier League four times during his six years at United, as well as the Champions League in 2008, which he also lifted while at Ajax.

After retirement, he returned to Ajax where he took up the role of chief executive in 2016 but left the post at the end of last season.

Following a disappointing season, the club finishing third in the Eredivise and missing out on Champions League qualification, Van der Sar announced he would be stepping down from his role after almost 11 years on the club's board.
 
Mungu amrejeshee Afya kipa Bora No.2 wa Muda wote pale Matofali ya kuchoma.
 
Back
Top Bottom