anatunzwa n.a. mumeweMke wake yupo bomba kichizi
Mkuu kweli uzuri wa mtu upo machoni pa mtu...mm naona yupo bomba na body yake ipo sawaJamaa HB demu wake wa kawaida sana au jamaa ni marioo mama ana mpunga?
They say beauty is in the eye of the beholder.Mkuu kweli uzuri wa mtu upo mschoni pa mtu...mm naona yupo bomba na body yake ipo sawa
Yan manz uyo unamuona wa kawaida..?angalia ngoma ilivo bambaJamaa HB demu wake wa kawaida sana au jamaa ni marioo mama ana mpunga?
Kila mtu ana macho yake,kwangu namuona demu wa kawaida tu labda kwakuwa vicker ni HB Shombeshombe nilikuwa na picha kwamba naye demu wake atakuwa level hizo hizo za shombeshombe beibi.Yan manz uyo unamuona wa kawaida..?angalia ngoma ilivo bamba
Pamoja na hayo, ila Nigeria mademu wao hawajakaa kike kabisa. Kinachowasaidia kidogo wanajipaua sana. Nawakubali sana dada zangu wa Bongo.They say beauty is in the eye of the beholder.
she has her own carolite inside her room.why bother even if it were moi.She is a true definition of an African queen, no observer nor carolite.
Ni Mghana, kilichonifurahisha ana ma confidence ndani ya ndoa yake.Pamoja na hayo, ila Nigeria mademu wao hawajakaa kike kabisa. Kinachowasaidia kidogo wanajipaua sana. Nawakubali sana dada zangu wa Bongo.
Hamna jamaa ana visenti....halafu mshua wake ni mholanzi ana pesa chafuu!Jamaa HB demu wake wa kawaida sana au jamaa ni marioo mama ana mpunga?
Mmh Van Vicker ni mtu mzima usione hicho kibaby face....Na kaoa zamani sana!Nikajua ni single, atumuoa wema
Na mke wake si wa kumchezeaNikajua ni single, atumuoa wema