We acha tu cacico. Mie hata nikiwa na jambo nataka kumpinga Madame B huwa najifikiria mara mbili mbili maana mtu unaweza kupata jibu hilo ukastukia upo hospital unawekewa drip! Lol!
we acha tu cacico. Mie hata nikiwa na jambo nataka kumpinga madame b huwa najifikiria mara mbili mbili maana mtu unaweza kupata jibu hilo ukastukia upo hospital unawekewa drip! Lol!