Vanesa Mdee aringa baada ya jux kusaini Deal nono na wachina

MumbaZ

Senior Member
Joined
Jan 28, 2018
Posts
133
Reaction score
124
Jux kupitia brand yake ya African Boy alisaini dili nchini China. Sasa mpenzi wake, Vanessa Mdee hajawa nyuma kwenye hilo
Vanessa Mdee amempongeza Jux kwa hatua hiyo aliyopiga na kuwashukuru watu wote waliokuwa waki-support bidhaa za Jux kupitia African Boy. Kupitia ukurasa wake wa Instagram Vanessa ameandika;

“We live in a world of endless possibilities. Hongera sana sana sana babe, umepambana sana kuijenga African Boy pamoja na Watanzania wote waliowahi ku-support brand yako ya kijanja, now it’s Money Time. God bless you with more Jux, nakuona mbali babi wewe piga kazi,” amesema Vanessa.
 
I think Vanessa n' Jux is the best couple in TZ for now.. Forget about Diamond Platnumz n' all WCB's drama
 
jux ataishia kuoa mchaina #@#$$&#€£÷£××£÷₩₩₩!£#
 
Vee money ajiandae kwa maumivu,mara paap jux kaenda oa mzungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…