Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Amehesabu mpaka hewa aliyokua anaivutaTshs 100,000,000/=
Bas sawa
So si kashapata loss because mpaka sasa kauza copy 40 na each copy 10000=ana million 40
inawezekan mkuu maan video zake siku hizi hazitengenezei hapa Tz, bado ela ya kuwalipa hao aliowashirikisha, bado kudurufu album, ela ya studi, matangazo mkuu inawezekana kabisa ukifikiriaWatanzania tunapenda kuongeza sifuri
Watanzania tunapenda sana kuongeza sifuri!!
View attachment 694431
Mwanadada anayefanya vizuri katika sanaa ya muziki wa Bongo Fleva na sasa anafanya vizuri katika mauzo ya albamu yake inayojulikana kama MoneyMonday, Vanessa Mdee maarufu kama Vee Money ametaja gharama alizotumia kukamilisha albamu hiyo.
Ambapo amesema kuwa albamu ya MoneyMonday mpaka kukamilika imemgharimu zaidi ya shilingi za Kitanzania Milioni 100.
”Nimetumia fedha nyingi lakini kwangu sioni tatizo lolote, niliangalia zaidi jinsi gani watu watatambua Vanessa kafika wapi katika kukua kimuziki, fedha hiyo nililipa idara zote kuanzia wasanii walioshiriki matangazo, video nk na bado naendelea kutoa kwa kuwa matangazo bado yanaendelea ,” amesema Vanessa.
Ameongezea kuwa hajutii matumizi ya kiasi hicho kikubwa cha fedha kwa kuwa lengo lake hasa ni kutoa kazi itakayomwongezea heshima kwenye muziki wake sambamba na kuhakikisha inawifikia watu wa aina zote.
Hivi karibuni Vanesa ameachia albamu yake katika ukumbi wa Mlimani City.
Vanessa ni kati ya wasanii wachache ambao wanajaribu kurudisha utamaduni wa kutengeneza Albamu katika muziki wa Bongo fleva jambo ambalo kwa siku za nyuma limekuwa likififia na kupotea.
Msanii mwingine mwenye ujasili wa kurudisha utamaduni wa wasanii kutengeneza albamu ni Diamond Platinum ambaye naye hivi karibuni ataachia albamu yake ya mtoto wa Tandale ambapo juzi alitaja baadhi ya sababu zilizomfanya acheleweshe kutoka kwa albamu hiyo.
Hivi watu wanaitwa wasanii na wewe still unaamini kila kinachoongelewa nao kwa 100%...Hapana naweza mtetea ,kwa video zote zile mil 100 tu? Sasa Diamond video moja tu anakwambia milioni 70 albam nzima si atasema katumia bilioni 1?
Hesabu zako haziko sahihi,40 mara 10,000 unapata 400,000 (laki nne),na sio 40,000,000 (milion arobain)So si kashapata loss because mpaka sasa kauza copy 40 na each copy 10000=ana million 40
Chibu naye kwa kuongeza sifuri ni mzuriHapana naweza mtetea ,kwa video zote zile mil 100 tu? Sasa Diamond video moja tu anakwambia milioni 70 albam nzima si atasema katumia bilioni 1?
Vipi na wewe umelipwa?View attachment 694431
Mwanadada anayefanya vizuri katika sanaa ya muziki wa Bongo Fleva na sasa anafanya vizuri katika mauzo ya albamu yake inayojulikana kama MoneyMonday, Vanessa Mdee maarufu kama Vee Money ametaja gharama alizotumia kukamilisha albamu hiyo.
Ambapo amesema kuwa albamu ya MoneyMonday mpaka kukamilika imemgharimu zaidi ya shilingi za Kitanzania Milioni 100.
”Nimetumia fedha nyingi lakini kwangu sioni tatizo lolote, niliangalia zaidi jinsi gani watu watatambua Vanessa kafika wapi katika kukua kimuziki, fedha hiyo nililipa idara zote kuanzia wasanii walioshiriki matangazo, video nk na bado naendelea kutoa kwa kuwa matangazo bado yanaendelea ,” amesema Vanessa.
Ameongezea kuwa hajutii matumizi ya kiasi hicho kikubwa cha fedha kwa kuwa lengo lake hasa ni kutoa kazi itakayomwongezea heshima kwenye muziki wake sambamba na kuhakikisha inawifikia watu wa aina zote.
Hivi karibuni Vanesa ameachia albamu yake katika ukumbi wa Mlimani City.
Vanessa ni kati ya wasanii wachache ambao wanajaribu kurudisha utamaduni wa kutengeneza Albamu katika muziki wa Bongo fleva jambo ambalo kwa siku za nyuma limekuwa likififia na kupotea.
Msanii mwingine mwenye ujasili wa kurudisha utamaduni wa wasanii kutengeneza albamu ni Diamond Platinum ambaye naye hivi karibuni ataachia albamu yake ya mtoto wa Tandale ambapo juzi alitaja baadhi ya sababu zilizomfanya acheleweshe kutoka kwa albamu hiyo.
Ndio mana mama kikwete aliomba sarafu zipelekwe shule,hili ni tatizo kubwa sana watu wanashindwa kuandika numberMkuu hesabu gani hii?, 40*100000= 40 millions.
Mkuu nadhani hii ni audio album so tuliza wengeHapana naweza mtetea ,kwa video zote zile mil 100 tu? Sasa Diamond video moja tu anakwambia milioni 70 albam nzima si atasema katumia bilioni 1?
Aisee kweli mdau?Mdau mimi rafiki yako sana mdau
View attachment 694431
Mwanadada anayefanya vizuri katika sanaa ya muziki wa Bongo Fleva na sasa anafanya vizuri katika mauzo ya albamu yake inayojulikana kama MoneyMonday, Vanessa Mdee maarufu kama Vee Money ametaja gharama alizotumia kukamilisha albamu hiyo.
Ambapo amesema kuwa albamu ya MoneyMonday mpaka kukamilika imemgharimu zaidi ya shilingi za Kitanzania Milioni 100.
”Nimetumia fedha nyingi lakini kwangu sioni tatizo lolote, niliangalia zaidi jinsi gani watu watatambua Vanessa kafika wapi katika kukua kimuziki, fedha hiyo nililipa idara zote kuanzia wasanii walioshiriki matangazo, video nk na bado naendelea kutoa kwa kuwa matangazo bado yanaendelea ,” amesema Vanessa.
Ameongezea kuwa hajutii matumizi ya kiasi hicho kikubwa cha fedha kwa kuwa lengo lake hasa ni kutoa kazi itakayomwongezea heshima kwenye muziki wake sambamba na kuhakikisha inawifikia watu wa aina zote.
Hivi karibuni Vanesa ameachia albamu yake katika ukumbi wa Mlimani City.
Vanessa ni kati ya wasanii wachache ambao wanajaribu kurudisha utamaduni wa kutengeneza Albamu katika muziki wa Bongo fleva jambo ambalo kwa siku za nyuma limekuwa likififia na kupotea.
Msanii mwingine mwenye ujasili wa kurudisha utamaduni wa wasanii kutengeneza albamu ni Diamond Platinum ambaye naye hivi karibuni ataachia albamu yake ya mtoto wa Tandale ambapo juzi alitaja baadhi ya sababu zilizomfanya acheleweshe kutoka kwa albamu hiyo.
Ban kubwa ndyo imenifanya nichange ivi mkuuAisee kweli mdau?
Daaah kweli mwanangBan kubwa ndyo imenifanya nichange ivi mkuu
Amehesabu mpaka hewa aliyokua anaivuta
Umesikiliza hyo Album mkuu?Mbona albam si nzuri, hapa alichemsha.