Vanessa auza nakala 750 za CD ya Money Mondays

Miss Zomboko

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
4,599
Reaction score
9,532
Dar es Salaam.
Msanii wa muziki Vanessa Mdee amesema ameuza nakala 750 za CD ya albamu yake ya Money Mondays, Mlimani City jijini Dar es Salaam.

Akizungumza na MCL Digital, Vanessa amesema nakala hizo aliziuza Jumamosi Januari 20,2018 siku ambayo pia alikutana na mashabiki wake.

Amesema, “Nilipofikia ni msanii wa kimataifa, hivyo lazima nifanye mambo kuendana na wenzangu wanavyofanya, bila kujali nitapata hasara au la.”

Katika uzinduzi huo watu mbalimbali walijitokeza ambao baadhi walinunua nakala za CD hiyo na wengine walipiga naye picha.

Nakala ya albamu hiyo yenye nyimbo 17 aliiuza Sh10,000 kila moja. Ndani yake yamo mashairi ya kila wimbo.

mwananchi
 
Muziki ungewekewa misingi na kulindwa kama biashara zingine tungezalisha mamilionea toka street wengi tu.

imagine auze copy laki mbili angalau.

Cd feki zipigwe vita kama vipodozi feki au vyeti feki tutengeneze ajira za bure bure kwa masela badala ya kuwa mateja na wakabaji.
 
Achana na laki mbili, just 10,000/=
 
Jitahidi ukalipe kodi tu mdee...maana watu wasije wakatafutia umaarufu kwako...
 
Dar es Salaam.
Msanii wa muziki Vanessa Mdee amesema ameuza nakala 750 za CD ya albamu yake ya Money Mondays, Mlimani City jijini Dar es Salaam.

Akizungumza na MCL Digital, Vanessa amesema nakala hizo aliziuza Jumamosi Januari 20,2018 siku ambayo pia alikutana na mashabiki wake.

Amesema, “Nilipofikia ni msanii wa kimataifa, hivyo lazima nifanye mambo kuendana na wenzangu wanavyofanya, bila kujali nitapata hasara au la.”

Katika uzinduzi huo watu mbalimbali walijitokeza ambao baadhi walinunua nakala za CD hiyo na wengine walipiga naye picha.

Nakala ya albamu hiyo yenye nyimbo 17 aliiuza Sh10,000 kila moja. Ndani yake yamo mashairi ya kila wimbo.

mwananchi
Hongera kwake, she is working hard.. Binafsi ntaitafuta album ili kuunga mkono
 
Dar es Salaam.
Msanii wa muziki Vanessa Mdee amesema ameuza nakala 750 za CD ya albamu yake ya Money Mondays, Mlimani City jijini Dar es Salaam.

Akizungumza na MCL Digital, Vanessa amesema nakala hizo aliziuza Jumamosi Januari 20,2018 siku ambayo pia alikutana na mashabiki wake.

Amesema, “Nilipofikia ni msanii wa kimataifa, hivyo lazima nifanye mambo kuendana na wenzangu wanavyofanya, bila kujali nitapata hasara au la.”

Katika uzinduzi huo watu mbalimbali walijitokeza ambao baadhi walinunua nakala za CD hiyo na wengine walipiga naye picha.

Nakala ya albamu hiyo yenye nyimbo 17 aliiuza Sh10,000 kila moja. Ndani yake yamo mashairi ya kila wimbo.

mwananchi
shauri yake,wanaomsapoti wanazingua!! kuna mdogo wangu wa Mbeya kama wiki 3 ago kauza nakala karibu laki ndani ya wiki 2 Mbeya pale pale anaitwa Selementally...Mbeya city stand up.hip hop lives
 
Kweli mkuu, katisha sana
 
shauri yake,wanaomsapoti wanazingua!! kuna mdogo wangu wa Mbeya kama wiki 3 ago kauza nakala karibu laki ndani ya wiki 2 Mbeya pale pale anaitwa Selementally...Mbeya city stand up.hip hop lives
Hahahahaha kawauzia watu wa aina gani nipo kabwe hapa mwez wa tatu sijaona hiyo pamoja nabkuzunguka natafta takwimu za sensa nione mbeya inawatu wangapi
 
shauri yake,wanaomsapoti wanazingua!! kuna mdogo wangu wa Mbeya kama wiki 3 ago kauza nakala karibu laki ndani ya wiki 2 Mbeya pale pale anaitwa Selementally...Mbeya city stand up.hip hop lives

uwongo huo
 
750x10,000=7,500,000/=
kwa siku

biashara tamu sana hiii naomba kujuzwa wapi naanzia ili nitoe singo wakuu
 
HAPO WAJANJA WAMENUNUA WANAKWENDA KURUDUFU, HALAFU WANAUZA BUKU HADI BUKU MBILI HALA WANAUZA NAKALA LUKUKI.

MUZIKI WA BONGO NI TABU SANA.
 
Back
Top Bottom