Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,599
- 9,532
Achana na laki mbili, just 10,000/=Muziki ungewekewa misingi na kulindwa kama biashara zingine tungezalisha mamilionea toka street wengi tu.
imagine auze copy laki mbili angalau.
Cd feki zipigwe vita kama vipodozi feki au vyeti feki tutengeneze ajira za bure bure kwa masela badala ya kuwa mateja na wakabaji.
Hongera kwake, she is working hard.. Binafsi ntaitafuta album ili kuunga mkonoDar es Salaam.
Msanii wa muziki Vanessa Mdee amesema ameuza nakala 750 za CD ya albamu yake ya Money Mondays, Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Akizungumza na MCL Digital, Vanessa amesema nakala hizo aliziuza Jumamosi Januari 20,2018 siku ambayo pia alikutana na mashabiki wake.
Amesema, “Nilipofikia ni msanii wa kimataifa, hivyo lazima nifanye mambo kuendana na wenzangu wanavyofanya, bila kujali nitapata hasara au la.”
Katika uzinduzi huo watu mbalimbali walijitokeza ambao baadhi walinunua nakala za CD hiyo na wengine walipiga naye picha.
Nakala ya albamu hiyo yenye nyimbo 17 aliiuza Sh10,000 kila moja. Ndani yake yamo mashairi ya kila wimbo.
mwananchi
shauri yake,wanaomsapoti wanazingua!! kuna mdogo wangu wa Mbeya kama wiki 3 ago kauza nakala karibu laki ndani ya wiki 2 Mbeya pale pale anaitwa Selementally...Mbeya city stand up.hip hop livesDar es Salaam.
Msanii wa muziki Vanessa Mdee amesema ameuza nakala 750 za CD ya albamu yake ya Money Mondays, Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Akizungumza na MCL Digital, Vanessa amesema nakala hizo aliziuza Jumamosi Januari 20,2018 siku ambayo pia alikutana na mashabiki wake.
Amesema, “Nilipofikia ni msanii wa kimataifa, hivyo lazima nifanye mambo kuendana na wenzangu wanavyofanya, bila kujali nitapata hasara au la.”
Katika uzinduzi huo watu mbalimbali walijitokeza ambao baadhi walinunua nakala za CD hiyo na wengine walipiga naye picha.
Nakala ya albamu hiyo yenye nyimbo 17 aliiuza Sh10,000 kila moja. Ndani yake yamo mashairi ya kila wimbo.
mwananchi
Kweli mkuu, katisha sanashauri yake,wanaomsapoti wanazingua!! kuna mdogo wangu wa Mbeya kama wiki 3 ago kauza nakala karibu laki ndani ya wiki 2 Mbeya pale pale anaitwa Selementally...Mbeya city stand up.hip hop lives
Hahahahaha kawauzia watu wa aina gani nipo kabwe hapa mwez wa tatu sijaona hiyo pamoja nabkuzunguka natafta takwimu za sensa nione mbeya inawatu wangapishauri yake,wanaomsapoti wanazingua!! kuna mdogo wangu wa Mbeya kama wiki 3 ago kauza nakala karibu laki ndani ya wiki 2 Mbeya pale pale anaitwa Selementally...Mbeya city stand up.hip hop lives
shauri yake,wanaomsapoti wanazingua!! kuna mdogo wangu wa Mbeya kama wiki 3 ago kauza nakala karibu laki ndani ya wiki 2 Mbeya pale pale anaitwa Selementally...Mbeya city stand up.hip hop lives
UnafeliMIMI KIBA NIMEPUMZIKA BAADA YA MZUNGUKO MREFU WA SHOW YA KINYONYAJI YA FIESTA.NASUBIRI FIESTA IJAYO NIVUME TENA
MIMI KIBA NIMEPUMZIKA BAADA YA MZUNGUKO MREFU WA SHOW YA KINYONYAJI YA FIESTA.NASUBIRI FIESTA IJAYO NIVUME TENA
MIMI KIBA NIMEPUMZIKA BAADA YA MZUNGUKO MREFU WA SHOW YA KINYONYAJI YA FIESTA.NASUBIRI FIESTA IJAYO NIVUME TENA