[emoji13] [emoji13] [emoji13]nyie mashabiki wa Diamond hampendi maendeleo ya msanii mwingine yoyote zaidi ya Diamond tu.
Mbele wapoi, maana hata Nigeria nyimbo hizo haziuzi.Nyimbo zinazouza Naija ni original kama John ya YEMI ALADE, Bobo ya OLAMIDE,SKELEWU.Huo umarekani ni ulimbukeni tu.Iko poa,seems like anafocus soko la mbele zaidi.
Ila too much auto tune,angeacha sauti yake halisi ingekua poa zaidi.
Ahsante kwa kuliona hili.Vanessa my love,tunajua nyimbo zako hazitulengi sisi wa nyumbani kwako,lakini basi jiweke kimuonekano wa tofauti na wakina Beyonce kwenye hizo video zako,japo waone kuwa una kitu tofauti na wao.
Labda mbele ya Madale.ni mbele ipi ambayo Vannesa hajaenda??
USAHIHIVanessa mdee a.k.a vee money kama anajiita ameachia nyimbo mpya ya kufungia mwaka.
Nyimbo inaitwa cash madame
Nyimbo hii inahamasisha wadada kujitafitia mkwanjwa wao wenyewe sio kutegemea ma suger daddy au sponser
Vipi msanii wabongo anayejiweka kwa muonekano wa Chris Brown tena unakuta kavaa meno kama Birdman?Vanessa my love,tunajua nyimbo zako hazitulengi sisi wa nyumbani kwako,lakini basi jiweke kimuonekano wa tofauti na wakina Beyonce kwenye hizo video zako,japo waone kuwa una kitu tofauti na wao.
ngoma nzuri imekaa kimbele mbele sana sio kibongo bongo wakina mwajuma ndala ndefu hawatoielewa,apunguze ubeyonce kidogo,hizi za vannesa sio level za kina shishi trump wala jay dee wala snura teh teh teh komaa mdada ila verse ya kwanza ina sound km ngoma ya AY zigo....Vanessa mdee a.k.a vee money kama anajiita ameachia nyimbo mpya ya kufungia mwaka.
Nyimbo inaitwa cash madame
Nyimbo hii inahamasisha wadada kujitafitia mkwanjwa wao wenyewe sio kutegemea ma suger daddy au sponser
Nyimbo ni wingi wa wimbo. Sema hivi "aachia wimbo mpya" ndio kiswahili sahihiVanessa mdee a.k.a vee money kama anajiita ameachia nyimbo mpya ya kufungia mwaka.
Nyimbo inaitwa cash madame
Nyimbo hii inahamasisha wadada kujitafitia mkwanjwa wao wenyewe sio kutegemea ma suger daddy au sponser