vanessa, navy kenzo ,jux & weusi
waache kujifanya wa mbele
watafute management iwabebe
wafanye mziki na promo za kimataifa...
ujamaa wao hauwasaidii chochote!!! waache kujifanya next level watoto wa kishua hawategemei promo.. wao wenyewe brand
team yao kujifanya wanafocus soko la nje
hapo ndipo wanapoFELIIIII !!!!
hapo ndipo watakapomuona mtoto wa Tandale mchawi, na ndipo anapowapiga bao!!!.
mwenzao everyday anajiona mshamba, ana kiu ya mafanikio zaidi
kwanini wasiige mfano uliowazi?????
hawamuoni davido anavozidi kuchuja africa? kujifanya amejitosheleza hafanyii dhiki mziki ndio matokeo yake!!
unaacha mziki ujisambaze badala ya kuusambaza!!
sio siri mnafeli
mnafeliiiiiii!!!