Vanessa Mdee aimba Kihindi...

Kihindi sikijui ila kaimba vizuri
keshachemka kwenye mavazi
wahindi hawavai manguo aliovaa!
sa sijui alikurupushwa au stylist wake nae hajawahi kwenda India wala kuangalia movie za kihindi!
 
Kazi nzuri, napendaga wadada wanajiingizia kipato kwa kujishughulisha kihalali kama huyu! Wale wauza mbunye sijui hawajui hata kufunga karanga? Pathetic!
unauhakika na maneno unayoongea wewe?
unamjua nani yupo nyuma ya Pazia la huyu Priyanka Chopra wa Tz?
hehehehe usiongee kabisa
 
Naona balozi ametekeleza agizo la Rais la kutaka kila balozi aoneshe alicho kifanya kwa kipindi cha miezi sita,tutegemee kuona wimbo kwenye channel ya b4u music na zee music...

Serikali pia ipeleke matangazo ya utalii kule BBC WORLD SERVICE.
hahahahaha
weraaaa tuchane baba tubadilike
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…