King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Na Fatma Shemweta au Sauda Mwilima baadae Lovig DJ Young Milionea Jacob Usungu.duuh umenikumbusha enzi hizo dadeki ikifika saa sita lazima ni tune STARTV kucheki bonga na buzz
Hahahaha we unaongea kihindi au Kitamil? !
hahaha na Arnorld Schwarzniger na Rambo!nimekumbuka enzi zile movie ni kihindi... za kizungu ilikua ni komando kipens na joni
mwulize VanessaHivi "Jiwe" kwa kihindi ni linaitwa hivyo hivyo?
Hata neno Chai, jasusiHivi "Jiwe" kwa kihindi ni linaitwa hivyo hivyo?
heheHata neno Chai, jasusi
hahahahaha uuuwi me ndo maana nakupendaga mdogowangu.
Kakalia msumari Wa moto up o
katikati ya masaburi,endelea kusifia shoga hill utaletewa posa Wa m James delicious
kiru
sio kwa hilo jibu