Vanessa Mdee amtolea povu shabiki aliyemponda Jux

yuleMskinny

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2017
Posts
242
Reaction score
136
Vanesa Mdee atema povu zito kwa shabiki wake mmoja mwenye kiherehere.
kama we sio mbea pita kama we mbea acha comment.

 
Jux aliweka video akifanya show ya pamoja na Vanessa Mdee na moja ya shabiki wa Jux wa kike alianza kumponda Jux kuwa anajipendekeza kwa Vanessa na kwenda mbali zaidi na kusema Vanessa hana haja na yeye na hana kitu cha kumpa.

Kufuatia ujumbe huo Vanessa Mdee alishindwa kuvumilia na kuja kumjibu binti huyo kwa kumweleza kuwa yeye si msemaji wake na kudai amekuwa akitukana kila siku kwenye page hiyo ya Jux na kusema huenda akawa anamtaka Jux.



Juma Jux na Vanessa Mdee walikuwa ni wapenzi lakini baadaye ikasemakana kila mmoja kuanza maisha yake mapya, ingawa wapo watu wanadai kuwa wawili hao ni wapenzi ila wameamua kuweka maisha yao ya mapenzi chini ya kapeti ili kutoa nafasi zaidi ya kazi zao za sanaa kupata nafasi zaidi kuliko kuzungumziwa zaidi kwenye mapenzi na mahusiano.
 
Huyo Vannesa anazingua sanaa.!! Yani huwaga anaona hana cha kupoteza hata akiachana Jux na Jux kazii kuliaa lia tu na kuonesha bado anamtaka vanessa..!! Sio vibayaa ilaa Jux inatakiwa nae at lst aoneshe uanaume bhna...
 
Vanessa hajawahi kuonesha kama anajali sana hayo mahusiana yao yaani yupo yupo tu sijui lakini nisiusemee moyo
 
Uyo dada naye akome kiherehere kuingilia maisha ya ndani ya watu atakuja kuumbuka siku moja
 
kwenye ule wimbo wake na mmoja wa p square,huwa naisimamisha video pale anaruka kamba,ramani ya u.chi inayojichora kwenye chupi laini na story kwamba ana kitu mnato cha moto..huwa vinanipeleka kwenye mbingu ya raha
 
kwenye ule wimbo wake na mmoja wa p square,huwa naisimamisha video pale anaruka kamba,ramani ya u.chi inayojichora kwenye chupi laini na story kwamba ana kitu mnato cha moto..huwa vinanipeleka kwenye mbingu ya raha

Mkuu kwenye chama kongwe kupita vyote nchini unaweza pata cheo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…