Kocha Mkuu
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 1,862
- 3,320
hazijajificha mbona ndugu..labda kama unatazama ukiwa na njaa na mawazo tele..huo mchezo nshaacha..akina mama wengi sana
ngoja vanesa aone comment yakoHuyo Vannesa anazingua sanaa.!! Yani huwaga anaona hana cha kupoteza hata akiachana Jux na Jux kazii kuliaa lia tu na kuonesha bado anamtaka vanessa..!! Sio vibayaa ilaa Jux inatakiwa nae at lst aoneshe uanaume bhna...
ni celeb gani hapa bongo unataman kumueka ndani?Kweli mapenzi ya mastaa hayadumu sana..kila kukicha kiki na skendo
hata mmoja sitamanini celeb gani hapa bongo unataman kumueka ndani?
duh mkuuhata mmoja sitamani
ndio ndioduh mkuu
hakuna binadam asietukanaHV nae Vanessa v money anatukanaga...[emoji15]
kuwa tabaka tiwa ni shida sana
Sijawahi kuona povu kwenye acc yake sijui lakini.....[emoji4]hakuna binadam asietukana
Jamaaa Ana Jicho La NneCHAPUTA, unafaa kupewa cheo kwa sababu unaziona fursa hata kama zimejificha.
kila mtu ana akili yake mzeeKawashinda hata dogo aslay... katulia na mama mtoto wake huku watu wazima wanaonjana onjana tu na kulia lia kwa social networks