Vanessa Mdee ana mpenzi mpya(Rommy Jones)?

asahkumu si matusi.. hivi kwa nini baadhi ya wasanii hawatulii wakapata wenza wa maana ? lazima ujue utatongozwa na kila sampuli yani katika wote wanadondokea kwenye mizoga duh
 
Rommy ana mtu wake mbkna.
Tena huyo dada alizaaga na Ruge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…