ngaboru JF-Expert Member Joined Mar 3, 2016 Posts 2,069 Reaction score 5,411 Mar 18, 2017 #21 mrangi said: Pole ya nini?wakati ni mtuhumiwa wa madawa Ova Click to expand... Kwa mtazamo wangu anastahil polee.
mrangi said: Pole ya nini?wakati ni mtuhumiwa wa madawa Ova Click to expand... Kwa mtazamo wangu anastahil polee.
juvenile davis JF-Expert Member Joined Apr 13, 2015 Posts 4,752 Reaction score 4,467 Mar 18, 2017 #22 Juzi nilimuona Makonda pale clouds fm ,sijajua alifuata nini.nadhani ilikuwa ni ishu hizo maana yule ni mfanyakazi wao
Juzi nilimuona Makonda pale clouds fm ,sijajua alifuata nini.nadhani ilikuwa ni ishu hizo maana yule ni mfanyakazi wao