Sr. Magdalena
JF-Expert Member
- Aug 10, 2011
- 803
- 472
Baada ya AY na Mwana FA kuzikimbia studio za Bhitz mwaka jana mwishoni kutokana na ugumu wa Kufanya kazi na Hermy B na management yote ya Bhitz, wasanii wanaofanya vizuri kwenye bongo flava Vanessa Mdee, Mabeste na Gosby nao wameamua kujiondoa kwenye studio hizo.
Habari zinasema Mabeste alijiondoa Mnamo mwezi wa sita, huku Gosby na Vanessa wakikataa ku renew mkataba mpya kwa madai mikataba ya Bhitz ni ya kimaslahi zaidi kwa Bhitz na siyo kwa wasanii, wasanii wengine waliobaki Bhitz wako kwenye negotiation za kuomba kusitisha mikataba yao.