Sr. Magdalena
JF-Expert Member
- Aug 10, 2011
- 803
- 472
B-hits hawawezi kukaa na wasanii wenye akili na upeo, ukitaka kumjua vizuri Hammy B muulize AY na mwana FA watakupa mkanda mzima ni kiasi gani ile studio inaendeshwa kiubinafsi na kimagumashi, Hammy huwa anaweka fedha mbele kazi baadaye, na ni mkamuaji haswaa....
Hemy huwa anaandaa matamasha na wasanii wa B-hits huwa wanafanya show bure, wakati zina wadhamini na kiingilio, hata show ya Azonto in Dar, wasanii wa B-hits hawakulipwa.... this dude is far worse than Ruge..sema watu hawajui tuu........bora hao madogo wakaangalie ustaarabu mbele, au wawe independent artist kama wenzao, kina jide, fiq q, mwana fa na ay

Hivi FA na AY hawakukimbia Bhits kwasababu ya kademu fulani? Just curious
Issue ya AY/FA BHits waliweka wazi kwamba BHits waliamua kuongeza recording fee baada ya kuona Bongofleva Industry imebadilika wasanii hawatoi album wanatoa single tu.Utakuta msanii anatoa track moja amemlipa Producer laki 5-1milioni but hiyo track itamuingizia 50m-100m but still Producer ameambulia ile laki 5 ambayo.AY/FA walikataa kukubaliana na hilo ongezeko wakaamua kuondoka na sidhani kama ni tatizo.
Bongofleva kwa sasa inalipa lakini wanaofaidika ni wasanii tu na sio producer ndio maana sasa wasanii kama ROMA,AY,FA,Diamond,Nay wa Mitego,Profesa J,Lady Jay Dee na wengineo wanaingiza hela nyingi lakini producer wanachokipata hata 10% ya mapato aliyoingiza msanii haifiki.BHits wanataka kuendesha mambo yao ki-proffesional zaidi na hapo ndio wasanii wengi wanashindwa
Mkuu Joachim acha upotoshaji, watu wanajua mengi sana mkuu,
Jikumbushe hapa Makala: AY na BHits na urafiki uliochuja kimya kimya | Tanzania Celebs
Mambo Jambo unajua adhabu ya name calling?
Hata hivyo wasanii wana uhuru wa kufanya watakalo na kuamua wa record wapi.
Hivyo maamuzi yao yaheshimiwe lakini hisiwe chachu ya chuki.
Mkuu Joachim acha upotoshaji, watu wanajua mengi sana mkuu,
Jikumbushe hapa Makala: AY na B'Hits na urafiki uliochuja kimya kimya | Tanzania Celebs
Mimi naitwa Belo ,Joachim ndio nani ? Uwe unasoma kwanza post za watu kabla hutakurupuka kukosoa kwanza
Tatizo la wasanii wa bongo wanapenda sna mteremko antka studio alipe laki tano kwny show apige mil kumi yaan faida mil9.5 na still analalamika ananyonywa tuwe wakwel hpo anayenyonywa nan msanii au producer