Vanessa Mdee: Kayumba ndo wapi??

Vanessa Mdee: Kayumba ndo wapi??

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Aah aah dah nilicheka sana wakati nacheki trailer la mkasi ambapo salama alikuwa anamuhoji vannesa mdee,salama katika pilika pilika za kumuuliza swali mdee akaingiza hii, mimi nimesoma kayumba,muba pia kasoma kayumba,apo mdee akawa curious akamuuliza salama kayumba ndo wapi??,dah nilicheka sana,kweli watoto wa kishua hatari...
 
amezuga tu, wakati mwingine ubishoo ukizidi ni hatari pia
 
She was right. kuchafua lugha ya kiswahili tena katika kituo cha televisheni kinachoangaliwa na watu mbalimbali sio kitu kizuri.
Nampongeza Vanessa kwa hilo.
 
She was right. kuchafua lugha ya kiswahili tena katika kituo cha televisheni kinachoangaliwa na watu mbalimbali sio kitu kizuri.
Nampongeza Vanessa kwa hilo.

hapana hiyo ndio misimu huwa inakuja inachipuka inakuwa na kupotea, baadhi ya maneno ya misimu yamekuwa kiswahili sanifu
 
ila embu tusubiri maanda hizi trailers za kipindi cha salama huwa zinakuwa kama vile ni za kuchomeka chomeka sana
 
Kweli anaeza asijue Vannesa kaja Arusha toka Paris akiwa mkubwa tu akaenda Arusha Modern Sec then chuo akaenda Nairobi so anaweza asijue
 
Kuna wa2 utanzania wao n sabab ya kuish nchn bt akil na roho iko kwa obama!!.tanzania eee,nchi yangu oooo!
 
Kumbe kile ndo kivanesa mdee..nasikia mnakitajataja sana humu ndo kinaigiza au kinacheza shoo?
 
nimeangalia interview yote kwenye mkasi show.....huwa siwafagilii mastaa wa kibongo kwa sababu ya mambo yao ya kipuuzi.....lakini i must admit VANESSA MDEE is very very smart girl......she is brilliant,well informed kwa kweli huyu mtoto akiendelea na akili yake hii atafika mbali.....

Sijawahi kusikia msanii wa kibongo demu anaongea vitu vya maana kama huyu mtoto......

Nafikiri kusoma na kuishi marekani kumemfanya awe tofauti na akina wema,jokate,lulu,lady jd etc..........
 
kwani alimaanisha kayumba au kanumba? mi sijammanya freshi...
 
Back
Top Bottom