She was right. kuchafua lugha ya kiswahili tena katika kituo cha televisheni kinachoangaliwa na watu mbalimbali sio kitu kizuri.
Nampongeza Vanessa kwa hilo.
kibongo-bongo ndio ishakuwa msamiati,hivi kayumba si ni jina la mtu ilo.
ni mwenyekiti wa umoja wa vijana sisiemu.Kumbe kile ndo kivanesa mdee..nasikia mnakitajataja sana humu ndo kinaigiza au kinacheza shoo?
Hahahaaa....upo baba?Kumbe kile ndo kivanesa mdee..nasikia mnakitajataja sana humu ndo kinaigiza au kinacheza shoo?