Vanessa Mdee: Kayumba ndo wapi??

Huyu mdada yupo vizuri upstairs. Huwezi mlinganisha na vijistaa uchwara wa bongo.
 
Nilisomanae pale chuo nairobi cuea aliondoka akiwa mwaka wa pili ndio alipata dili ya mtv ako vizuri ki fikra
 
mi mwenyewe namkubali tena thaaaaana ila mmmh apunguze ubishoooo, khaaa. Kama kitu unafahamu siunakuwa mkweli bana.Alafu ndo kicheko gani kile, she needs to be real.
 
Kaka yaani umetaja wote ila kwa jide apo kitanuka si mda
 
She is smart,cute,brilliant,active,confident and excel among all...
 
Jide ashakuwa nguli wa muziki wa bongo huwezi kumfananirha na huyu Vanessa wa juzi tu! Ana safari ndefu kufika alipo Jide

soma uelewe.....jide kaanza zamani sana na ana mafanikio but vanessa mdee got more brains than jide....she is way smarter than jide.
 
soma uelewe.....jide kaanza zamani sana na ana mafanikio but vanessa mdee got more brains than jide....she is way smarter than jide.

Kwa sababu ya kiingereza au kwa sababu kasoma nje??,yaani watanzania we have a long way to go,mtu akiongea fluent english ni smart hat kama ujaelewa alichokiongea,but she is though nadhan kwa kuwa alisoma nairobi,mademu wengi wa kule wako smart sana
 
sijaongelea kiingereza kwenye hio reply coz i didnt even notice kwamba aliongea kiingereza kwenye ile interview.....pls someni muelewe
 
I knw dat gal honestly hajakulia aya mazngira ya kwe2 kakaa mbele xn xo she ddnt knw kayumba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…