Vanessa Mdee: Kayumba ndo wapi??

Vanesa mtoto mdogo sana kimziki thn knw da jide a.k.a Anaconda ni ICON ya Tanzania...kama mwana fatuma alichemka pindi alpo weka show cku 1 sembuse huyo mwny nymbo 3
 
Vanesa mtoto mdogo sana kimziki thn knw da jide a.k.a Anaconda ni ICON ya Tanzania...kama mwana fatuma alichemka pindi alpo weka show cku 1 sembuse huyo mwny nymbo 3
huna hoja yoyote unatapika tu...hana lolote huyo na roho mbaya yake kuwaaminisha watu eti anaonewa kumbe usanii mtupu!kuna siku utanielewa kwa wasanii wa kike bora enika au stara yule alikuwa anabebwa sana,je waweza taja wimbo wa zamani aliotamba nao sana bila mikono ya clouds....jibu hapana so ni mtu ambaye hana shukrani.kuna siku hata ninyi mnayemhurumia akawaponda!
 
Vee Mdee, she's so brilliant in deed.. kupata shavu la MTv si hivihivi kawa haters wafikiriavyo..

Wabongo tuwe na utamaduni wakupongeza kwenye uhalali na sio kuendekeza chuki zisizo na mantiki..
 
I like tht gal...anaishi kivyake vyake....ameifunika ya jokate ambaye alijiharibia sifa kwa kutembea na diamond

Kwani Jokate ni tofauti na wanawake wengine mkuu? kwenye haya mambo hata uwe nani mwanaume akiamua anakupata tu.
 
Demu mwenyewe sura ukakasi,umbo hata mwajuma muuza karanga ana afadhali,,2 hell with her,,

Kinachoangalia nafsi aliyo nayo kama mwanadamu au mtanzania, kwani wangapi wana mwonekano mzuri lakini hakuna vitu vizuri walichofanya.
 
She was right. kuchafua lugha ya kiswahili tena katika kituo cha televisheni kinachoangaliwa na watu mbalimbali sio kitu kizuri.
Nampongeza Vanessa kwa hilo.

Kuzungumza misimu sio kuchafua lugha, wakati nasoma Isimujamii, tuliambiwa kuwa mojawapo ya kazi za maneno haya ni kupamba lugha.
Upo hapo mwanakwetu?
 
Mama yake mkimuona alivyo mrembo mtazimia me nimeishi nao jirani mezaluna hapa Arusha Baba yake alikuwa mwenyekiti wa parokia yetu alikuwa anafanya AICC
Ni kati ya watu wa kwanza kuendesha harrier Arusha sijui waliamiaga wapi tokea mdee afariki hawapogo tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…