Vanessa Mdee: Namshukuru sana Diamond kwasababu ametufungulia njia (video)

mr gentleman

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2012
Posts
3,222
Reaction score
4,689
1601848_721531134526283_111801404_o.jpg

Vanessa Mdee amesema anamshukuru Diamond Platnumz kwakuwa amefungua njia ya wasanii wengi wa Tanzania kufahamika kimataifa.

Vanessa ameiambia Bongo5 kuwa mafanikio ya staa huyo yameifanya Afrika iuheshimu muziki wa Tanzania.
“Unajua mimi namheshimu sana Diamond kwa vitu vingi ambavyo ametufanyia sisi wasanii wa kitanzania, ametufungulia njia. So for me it’s just like he is making it so much easier for me, for Navy Kenzo, whoever else is coming nyuma yetu. To me he is like my little brother but he is my big brother like in music so I am really very proud of him.”
Diamond alimtaja Vanessa kama msanii wa kike anayemkubali zaidi kwa sasa.

Vanessa Mdee akiongea kuhusu Diamond, MTV na video ya Hawajui - YouTube
 
Vannesa be fair, unakumbuka nani kaimba*" tanzania to lagos i gonna make you famous*"mpe credit na Davido pia
 
Watu wengine bhana... hayo ni maoni ya Vanessa lakini wengine wanataka maoni ya Vanessa yafanane na ya kwao, nyie watu vipi? Kama mna maoni tofauti na Vanessa mbona simple tu kujirejodi youtube na kuyatupia online??
 
AY Ndo kafungua road thou hatajwiiiii ( Siongelei tuzo)

Huyo naye anachoimba ni nini? Me sioni hata anachofanya zaidi ya kutunatuna na kujifanya ana pesa wakati hata pesa zenyewe hatuzioni yaani Majanga tu..!
 
Inaonekana wew ni mdau wa vitorondo
 
Vanessa mdee na Halima mdee yaani nikiangalia sura zao nasisimka
 
Huyo naye anachoimba ni nini? Me sioni hata anachofanya zaidi ya kutunatuna na kujifanya ana pesa wakati hata pesa zenyewe hatuzioni yaani Majanga tu..!

Kwakweli katika hujatenda haki kabisa hizi tabia unazo zisema kwa AY mbona hazionekani? Ay ni mmoja wa wasanii wanao linda mambo yao na si mtu wa kujitutumua hakika unamuonea!
Tenda haki!
 
Sasa hela za Diamond zinaonekana kwani?
 
Kwakweli katika hujatenda haki kabisa hizi tabia unazo zisema kwa AY mbona hazionekani? Ay ni mmoja wa wasanii wanao linda mambo yao na si mtu wa kujitutumua hakika unamuonea!
Tenda haki!

AY ni international asiyefahamika kimataifa.
 
Huyo naye anachoimba ni nini? Me sioni hata anachofanya zaidi ya kutunatuna na kujifanya ana pesa wakati hata pesa zenyewe hatuzioni yaani Majanga tu..!

i agree with you 1000%........

Grand PA
 
Kwakweli katika hujatenda haki kabisa hizi tabia unazo zisema kwa AY mbona hazionekani? Ay ni mmoja wa wasanii wanao linda mambo yao na si mtu wa kujitutumua hakika unamuonea!
Tenda haki!

Haswaaaaaaa.....ay si wa kujitutumua..labda ana jealous nae
 
AY ana viswaga vyake flani vya kujifanya wanamuziki wa mbele wanamuelewa sana ndio huwa anaaribu hapo.

ata Master P atakwambia ni swaiba waKe
 
Afrika inauheshimu muziki wa Tanzania!? mbona wasanii wetu hawapati shows za mataifa ya Afrika kama wenzao wa Naija? au shows za wabongo waishio ulaya ndio mnazomaanisha!? maana hizo hata wakina TID, Prof jay, matonya wamefanya sana!
 
Back
Top Bottom