Vanessa Mdee: Namshukuru sana Diamond kwasababu ametufungulia njia (video)

mimi pia sielewi kitu AY anachofanya miaka yote hiyo yuko bize kusafiri nje ya nchi. Kutokea kwenye nomination tofauti ni evidence tosha kua diamond ni next level zaid ya AY, miaka yote eti mshikaji leo ndio anaenda kushoot kichupa cha wimbo alieimba na Sean Kingston baada ya karibu miaka miwili.
 
Kila ki2 kinamuda wake so ay kawakirisha kwa muda alio upata so now ni zamu ya chibwe@dangote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…