Duu baba mkwe kama yupo au mashemeji wameona hii video ni fedhehaJux hana mke hapa demu kakomaa na kingekuwa kizuri kidogo tu hiki kidemu pasingekalika
Alafu huyu binti amesha ona sifa kukaa uchi Basata wanapaswa kumfundisha adabu analeta uzungu unao pitiliza ana sahau sisi tuna tamaduni zetu...Kajiacha uchi mno kiukweli mbona ni mzuri hakukua na haja ya kukaa nusu uchi otherwise angeuweka ni age ipi waiangalie hyo video
Mmesahau kuwa huu uzi si wa Alikiba....!
kiba lazima avune alichopanda subiri kill music awards ndio ujue alitukasirisha kumpigia debe magufuli
diamond ni ccm na hilo liko wazi ila kiba ambaye alionesha ni mtu wa watu, na watu ni ukawa mwishoe akaenda kwa magufuli....plz namchukia diamond ila kiba staki hat kumwona
ikianza kili music award nitamkosesha kiba zaidi ya kura mia sita...nitaishawishi jumuiya yangu kuachana na KIBA KWA USALITI WAKE
NILIMPENDA KIBA KUPINDUKIA, KWA SASA NAMCHUNIA KULIKO NILIVYOMPENDA.....kwa taarifa yako wtsp sina rafiki anayemkubali kiba kwa sasa.....wooote wamegeuka,,,,,akaombe kura kwa magufuli
Kwani kosa lake ccm kama ni ccm show moja wanampa 25m sasa aache kisa mashabiki we kweli unachekesha mi ni ukawa ila siezi fanya ujinga huo
Unamchukia bila sababu kabla hajapiga campaign ccm alishaitwa mara nyingi na ccm akakataa ilikuwa jangwani awepo akasema ana sho mombasa alivyorudi akafuatwa tena ndo akakubali tena baada ya kuongea na die hard fans wake sasa aache 25m kisa mashabiki watachukia daa haya bwana endelea na msimamo wako leo alikuwa lindi anapiga show za ccm #mabadiliko 2015
Bila kuathiri jambo lolote hata mimi hadi sasa sijaona uzuri wa audio ya wimbo huu....WImbo huu ni mbovu hatari, uthungu mwingi, eti anatangaza Tanzania shame shame, heri hata snura au shilole, huyu wanambeba tu, mi jana nimepatwa na hasira eti kamebeba Afrimma,
Mwanamziki ni KingKiba tu. Na wimbo bora ni #Nagharamia tu
Kwani zilipofungiwa za kina Snura na Jux za kina nick hazikuwepo? unafikiri hiyo ina halalisha ya Vanessa kuachwa?Ni upumbavu na ulofa kuifungia video ya Vee wakati kuna nyingi sana mbaya za nicki zinachezwa mpaka leo.
Daa kweli madaliko ni muhimu kwa hiyo unamfananisha nick minaj na vanessa?? Different country different culture difference music yule nick yupo ma juu sasa huyu Tanzania anafanya ujinga kama uleNi upumbavu na ulofa kuifungia video ya Vee wakati kuna nyingi sana mbaya za nicki zinachezwa mpaka leo.
Mi naona mnajisumbua tuu mara oohoo Basata waifungie basata waifungie...HAWAEZI KUIFUNGIAAAA!!! kwanza nyimbo itapigwa kwenye TV station za kimataifa na pia sioni kasoro yoyote ,kichupi amevaa yupo kwenye swimming pool ni sehemu husika kabisa,sasa nyie mlitaka kwenye swimming pool avae suti???!!!...video ingeonyesha yupo mitaani anapita au anacheza cheza na kichupi hapo labda kungekuwa na walakini..ila kwa mtazamo wangu sioni kosa la kufungia video iyo...tena ndo imeongeza ashki ya kutazamwa....
Mkuu umemjibu vyema sana kwanza chupi si vazi pekee la eneo lile tumeshaona video nyingi za maeneo kama hayo na watu hawajavaa kama Vannesa.....! Alafu hata ile video ya jux iliyo fungiwa yule binti alikuwa chumbani kama hoja ni kuwa sehemu sahii...!Tatizo hapa jambo hili kuoneshwa kwa public..Kwaiyo mkuu kwa hoja yako hata vanessa angeonyesha yupo chumbani anafanya mapenzi au yuko uchi angekuwa sawa tu maana yupo katika eneo sahihi, ungesema yaani mtu yupo chumbani unataka ajifunike funike
Kwa hiyo unajaribu kusema kuwa hata akionesha anafanya mapenzi chumbani itakuwa sawa kwakuwa chumbani ni mahala sahihi pa kufanyia mapenzi au akituonesha video anaoga akiwa uchi itakuwa sawa kwakuwa kaogea bafuni? Teh Teh...Mi naona mnajisumbua tuu mara oohoo Basata waifungie basata waifungie...HAWAEZI KUIFUNGIAAAA!!! kwanza nyimbo itapigwa kwenye TV station za kimataifa na pia sioni kasoro yoyote ,kichupi amevaa yupo kwenye swimming pool ni sehemu husika kabisa,sasa nyie mlitaka kwenye swimming pool avae suti???!!!...video ingeonyesha yupo mitaani anapita au anacheza cheza na kichupi hapo labda kungekuwa na walakini..ila kwa mtazamo wangu sioni kosa la kufungia video iyo...tena ndo imeongeza ashki ya kutazamwa....
Kwa hiyo unajaribu kusema kuwa hata akionesha anafanya mapenzi chumbani itakuwa sawa kwakuwa chumbani ni mahala sahihi pa kufanyia mapenzi au akituonesha video anaoga akiwa uchi itakuwa sawa kwakuwa kaogea bafuni? Teh Teh...