Lakini utajiri ulikuja kuongezeka maradufu baada ya Kim kujulikana na Sasa familia nzima tajiri, mwenye nacho huongezewaKim Kardashian baba yake alikua ni tajiri, in short katokea familia ya kitajiri, hata hata Bruce Jenner alikua ni tajiri
Baba yake alikua maarufu sababu alikua mwanasheria wa OJ SimpsonLakini utajiri ulikuja kuongezeka maradufu baada ya Kim kujulikana na Sasa familia nzima tajiri, mwenye nacho huongezewa
Ndio he was famous lakini Kim ka climb na ladder ya sex tape ku build empire ya familia, Ange relax tu wasingefika hapo, Kim works hard na hata Wana familia wengine wametumia umaarufu kujiongezea fezaBaba yake alikua maarufu sababu alikua mwanasheria wa OJ Simpson
AY ana mashamba ya hekari 100 ya mpunga IfakaraKwenye orodha yako mtoe AY huyo ni kama mwana fa toka kitambo wanafanya mambo yao ya pembeni na muziki, na hawalii shida na heshima wanayo japo wanaumba kwa kujisikia.
Tatizo lako umeanza kumjua Kim Kardashian baada ya sex tape ndo maana kamwe hutakaa unieleweNdio he was famous lakini Kim ka climb na ladder ya sex tape ku build empire ya familia, Ange relax tu wasingefika hapo, Kim works hard na hata Wana familia wengine wametumia umaarufu kujiongezea feza
I know Kim babake was famous lawyer Ila kutegemea mbeleko la babako ufike sehemu huwezi kamwe, nimewafatilia long time, tangu season zao za mwanzo za keeping up with the Kardashians, na jinsi walivoanza ku improve huwezi linganisha mafanikio yao ya nyuma na Sasa ambako kila mwanafamilia ni milioneaTatizo lako umeanza kumjua Kim Kardashian baada ya sex tape ndo maana kamwe hutakaa unielewe
Kama ilivyo familia ya Chibu. Mabilionea kila mwanafamilia. Ankali akaona msinitanie ngoja na mm nijiwekeI know Kim babake was famous lawyer Ila kutegemea mbeleko la babako ufike sehemu huwezi kamwe, nimewafatilia long time, tangu season zao za mwanzo za keeping up with the Kardashians, na jinsi walivoanza ku improve huwezi linganisha mafanikio yao ya nyuma na Sasa ambako kila mwanafamilia ni milionea
πππKama ilivyo familia ya Chibu. Mabilionea kila mwanafamilia. Ankali akaona msinitanie ngoja na mm nijiweke