Vanessa Mdee sasa kama Beyonce

Kama beyonce tena? mnatania sasa..... hebu itizame skin color tone ya beyonce unataka kuifananisha na huyu tone isioeleweka? mara hapa weusi umezidi mara kifua kama kina nongo hakijasuguliwa, bora niishie hapa. wenzao nguo izo wakivaa huwa wanajua kama miili yao inang'aa.... huyu? siiijui
 
kweli na jux na akipigwa chini alalamike kuwa "madame wote ni sawa"? kwakweli hii dunia ina watu wa hovyo hovyo haijawahi kutokea
 
hahhahahaahaha amepaka ile kitu kule chugga tunaita 'lukaria'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…